KWA MAELEZO ZAIDI

TANGAZA HAPA NA PATA HABARI ZA MICHEZO, KITAIFA NA KIMATAIFA HAPA VIJANA KWANZA BLOG. WASILIANA NASI: PHONE: +255 764 251 064

Friday, November 2, 2012

LOST FAMILY COMING SOON

 POSTERZ ...

Thursday, October 18, 2012

SALAAM ZA MAASKOFU WA KKKT KWA WATANZANIA WOTE KUHUSIANA NA MATUKIO YA KUCHOMA MOTO MAKANISA YA KIKRISTO ENEO LA MBAGALA – DSM.

SALAAM ZA MAASKOFU WA KKKT KWA WATANZANIA WOTE KUHUSIANA NA MATUKIO YA KUCHOMA MOTO MAKANISA YA KIKRISTO ENEO LA MBAGALA – DSM. Wapendwa Katika Bwana, Waumini wa KKKT, Wakristo Wote na Watanzania kwa Ujumla. Neema na Iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba na Bwana wetu Yesu Kristo, Amina. Sisi maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), tumepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za matukio ya uchomaji wa makanisa...

Tuesday, October 9, 2012

SINTAH VS RAYUU,SINTA AMCHANA RAYUU KWA KUTAFUTA UMAARUFU KWA KUACHIA PICHA ZAKE ZA UTUPU

Baada ya muigizaji wa filamu na video model maarufu kwa jina la Rayuu kusambaza picha mtandaoni zikionesha tattoo alizojichora kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wake kama kiunoni, shingoni, kwenye maziwa, makalio na mapaja, watu mbalimbali wamejitokeza na kumponda. Miongoni mwao ni mtangazaji wa kipindi cha Harusini cha DTV, Sinta aliyeamua kuitumia website yake kumpa somo mugizaji huyi aliyeigiza filamu kama The Image, Trinita Show,...

EXCLUSIVE INTERVIEW YA CLOUDS FM/ TV CHOICE FM NA RICK ROSS DSM PAMOJA NA ALIYOYASEMA.

Kupitia AMPLIFAYA ya Clouds Fm inayokua OnAiR kuanzia jumatatu mpaka ijumaa saa moja usiku, jana October 8 2012 ilisikika sehemu ya Exclusive Interview ya rapper Rick Ross kutoka kwa Obama ambae aliperform kwenye Serengeti Fiesta 2012. Japo alisafiri safari ndefu ya masaa 25 alikua hajui atakuja kukutana na nini ila alikua na kumbukumbu tu za utotoni kuhusu Tanzania,  Mfano mlima Kilimanjaro na mengine ila ameenjoy na atarudi...

Tuesday, July 31, 2012

ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA MWAKA WA MASOMO 2012/2013

 WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA  MWAKA WA MASOMO  2012/2013 MAELEKEZO MUHIMU Waombaji waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya Stashahada katika mwaka wa masomo 2012/13 wanatakiwa kuripoti katika vyuo walivyopangiwa tarehe 12/08/2012.  Kwa wale watakaochelewa kupata barua za maelekezo (Joining instruction) kutoka vyuoni wanatakiwa waripoti vyuoni katika tarehe iliyopangwa bila kukosa. Wanafunzi wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa...

Wednesday, July 25, 2012

WAZIRI WA UCHUKUZI DR. HARRISON MWAKYEMBE AZINDUA HUDUMA MPYA ZA SHIRIKA LA NDEGE LA QATAR KUTOKA KIA.

Picha ya pamoja mara baada ya Shirika la ndege la serikali ya Qatar (Qatar airways) leo kuzindua  huduma ya safari zake za anga kutoka Kilimanjaro kuelekea sehemu mbalimbali za dunia kila siku na kufanya huduma za safari za anga kufikia zaidi miji 118. Mgeni rasmi katika uzinduzi huo,waziri wa mawasiliano na uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe akimkabidhi Mkurugenzi mtendaji wa masoko...

NIGERIA U20 YAWASILI KUIKABILI NGORONGORO HEROES.

  Kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana U20 ya Nigeria (Flying Eagles). Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 ya Nigeria (Flying Eagles) inatarajia kuwasili nchini leo (Julai 25 mwaka huu) saa 10 jioni kwa ndege ya RwandAir ikiwa na msafara wa watu 30 wakiwemo wachezaji 18. Flying Eagles itapambana na Ngorongoro Heroes katika mechi ya kwanza ya raundi ya pili itakayofanyika Jumapili (Julai 29 mwaka huu)...