KWA MAELEZO ZAIDI

TANGAZA HAPA NA PATA HABARI ZA MICHEZO, KITAIFA NA KIMATAIFA HAPA VIJANA KWANZA BLOG. WASILIANA NASI: PHONE: +255 764 251 064

Tuesday, June 12, 2012

MAHAKAMA YASOGEZA KESI YA LULU HADI TAREHE 25 JUNI, 2012.

Lulu’ akishuka katika basi la magereza. ‘Lulu’ akiwa ndani ya mahakama. ‘Lulu akiteta jambo na wakili wake muda mfupi baada ya kufika mahakamani. Akitoka mahakamani baada ya kesi yake kusogezwa hadi tarehe 25 mwezi huu, ambapo watetezi wa ‘Lulu’ wametakiwa kuwasilisha vielelezo vyenye uthibitisho wa umri wake ifikapo tarehe 13 mwezi huu, wakati upande wa serikali wameomba kuwasilisha vielelezo vyao tarehe 22 mwezi huu ili kumaliza...

Monday, June 4, 2012

Habari kwa kiswahili: FBI kuzima kompyuta 350,000 zilizoambukizwa na virusi.

Mmoja kati ya watengeneza virusi aliyewekwa chini ya ulinzi na watu wa usalama FBI kutokana uhalifu wake. Hivi sasa FBI iko katika maandalizi ya kuzima kompyuta 350,000 duniani kote kutokana kuambukizwa na kirusi aina ya Trojan aliyetengenezwa na kundi la Kiestoni ambalo ni la wahalifu. Pia FBI wamefanikiwa kukamata kifaa aina DNS changer ambacho hutumika kutengenezea Vurusi hao. Walinzi wa kimarekani ambao wanashughulika na uhalifu huo...

Sunday, June 3, 2012

BIRTHDAY YA BONIFACE MASELE "BONTA THE GREAT"

BONTA THE GREAT ...

HISTORIA FUPI YA MAREHEMU (DAUDI KILUNGUMIKA LUFEGA) ALIYEKUWA MWENYEKITI WA MTAA WA BANK WILAYANI MAGU KUPITIA CHAMA CHA WANANCHI (CUF)

HISTORIA FUPI YA MAREHEMU DAUDI KILUNGUMIKA LUFEGA KUZALIWA Marehemu alizaliwa mnamo mwaka 1960 akiwa ni Mtoto wa Saba katika familia ya Mzee Lufega Masalu, Alizaliwa katika Kitongoji cha Benki eneo ambalo kwa sasa Cadirac Hotel. Katika Wilaya ya magu na Ndani ya Mkoa wa Mwanza. ELIMU Daud Kilungumika Lufega alipata Elimu yake ya msingi Katika Shule ya Msingi Nyalikungu mwaka 1972 na kuhitimu darasa la saba mwaka 1978. 1980 Alijiunga...