WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA MWAKA WA MASOMO
2012/2013
MAELEKEZO MUHIMU
Waombaji waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya
Stashahada katika mwaka wa masomo 2012/13 wanatakiwa kuripoti katika
vyuo walivyopangiwa tarehe 12/08/2012.
Kwa
wale watakaochelewa kupata barua za maelekezo (Joining instruction)
kutoka vyuoni wanatakiwa waripoti vyuoni katika tarehe iliyopangwa bila
kukosa. Wanafunzi wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa...