Hongereni....... ila mkumbukeni Mungu rafiki zangu atafanikisha maono yenu. Bwana anasema katika (Mithali 3:5-6 )Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako. Nawapenda sana rafiki zangu..
Hongereni....... ila mkumbukeni Mungu rafiki zangu atafanikisha maono yenu. Bwana anasema katika
ReplyDelete(Mithali 3:5-6 )
Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;
Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
Nawapenda sana rafiki zangu..