Mchezaji wa Tamu ya Simba jijini dar es Salaam PATRICK MAFISANGO Afaliki Dunia Kwa Ajali ya Gari Alfajiri ya leo Majila ya Saa Kumi Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Simba bwana Aden Rage amesema kuwa taarifa za awali juu ya chanzo cha kifo cha mchezaji huyo zinasema kuwa mchezaji huyo amepatwa mauti wakati akijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki. Tutaendelea Kuwajulisheni
MATOKEO KIDATO CHA NNE 2016 HAPA
-
ANGALIA HAPA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2016
BOFYA HAPA KUANGALIA MATOKEO CSEE 2016
8 years ago
0 Maoni:
Post a Comment